Leo katika Historia

Leo katika Historia

Leo katika Historia

Disemba 3 mwaka 1918, mkutano wa London kulichukuliwa uamuzi baada ya vita vya kwanza vya dunia kuwa Ujerumani italipa fiidia washirika.

Disemba 3 mwaka 1942, ajali katika mgodi Ereğli mkoani Zonguldak ilipelekea vifo vya watu 63.

Disemba 3 mwaka 1959, kiongoni wa Kupro ya Uturuki Daktrari Fazil Küçük alichaguliwa kuwa makamu wa rais.

Disemba 3 mwaka 1984, bomba la gesi lilitoboka na kusababisha gesi ya sumu kuvuja katika kiwanda kimaoja cha kutengeneze dawa Bhopal nchini India, watu zaidi ya 18 000 walifariki.

Disemba 3 mwaka 1989, katika mkutano uliofanyka Malt kati ya rais wa Marekani George Bush na rais wa Urusi Mikhail Gorbachev kulitangazwa kumalizika kwa vita baridi.


 


Tagi: historia

Habari Zinazohusiana