Shirika la UEFA na FIFA hayawajibiki ipasavyo dhidi ya ubaguzi wa rangi

Mcheza kabumbu wa Senegal ayatuhumu mashika ya kimataifa ya kabumbu kutowajibika ipasavyo katika kupambana na ubaguzi wa rangi

Shirika la UEFA na FIFA hayawajibiki ipasavyo dhidi ya ubaguzi wa rangi

Shirika la UEFA na FIFA hayawajibiki ipasavyo dhidi ya ubaguzi wa rangi.

Mcheza kabumbu wa Senegal ayatuhumu mashika ya kimataifa ya kabumbu kutowajibika ipasavyo katika kupambana na ubaguzi wa rangi

Ricardo Faty, mchezaji kabumbu kutoka nchini Senegal ambae kwa sasa anachezea timu ya Ankara Gücü mjini Ankara amesema kuwa mashirika ya kimataifa ya kabumbu kama shirika la Ulaya UEFA na shirika la kimataifa FIFA hayawajibiki ipasavyo katika kupambana dhidi ya ubaguzi wa rangi dimbani.

Katika mahojiano aliofanya na wanahabari wa kituo cha habari cha Anadolu, Ricardo Faty amesema kuwa mashirika hayo yanapuuza suala zima la ubaguzi wa rangi katika dimba.

Tagi: ubaguzi , FIFA , UEFA

Habari Zinazohusiana