Mashambulizi ya serikali Syria

Wizara ya ulinzi imetangaza kuwa serikali ya Assad imefanya mashambulizi yaliyopelekea kuuawa kwa watu 14

Mashambulizi ya serikali Syria

Wizara ya ulinzi imetangaza kuwa serikali ya Assad imefanya mashambulizi yaliyopelekea kuuawa kwa watu 14 wakiwemo watoto na wanawake huku watu wengine 27 wakiwa wamejeruhiwa nchini Syria.

Wizara hiyo imesema katika taarifa kwamba serikali ya Syria inaendelea kufanya mashambulizi huko Idlib na kuwaua watu wasio na hatia.

Taariha hiyo imesema,

"Leo, raia 14 wasio na hatia, pamoja na watoto na wanawake, wameuawa na watu 27 walijeruhiwa katika shambulizi lililofanyika katika eneo la soko la raia." Habari Zinazohusiana