Uturuki yatuhumu Umoja wa Ulaya kutoheshimu ahadi zake

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki anyooshea kidole cha lawama Umoja wa Ulaya kutoheshimu ahadi zake kuhusu Mokedonia Kaskazini

Uturuki yatuhumu Umoja wa Ulaya kutoheshimu ahadi zake

 

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki anyooshea kidole cha lawama Umoja wa Ulaya kutoheshimu ahadi zake kuhusu Mokedonia Kaskazini.

Mevlüt Çavuşoğlu, waziri wa mambo ya nje wa Uturuki imekemea Umoja wa Ulaya kwa kutoheshimu ahadi zake iliotoa kuhusu Makedonia Kaskazini.

Umoja wa Ulaya umeonesha kipingamizi dhidi ya Makedonia Kaskazini kutaka kujiunga na Umoja huo licha ya kufikia hatua ya kubadili jina.

Makedonia inataka kuwa mwanachama wa jeshi la kujihami Magharibi NATO.

Hayo waziri wa mambo ya nje wa Uturuki ameyafahamisha katika mkutano aliofanya na wanadiplomasia wa kigeni ulioandaliwa mjini Antalya Jumamosi Kusini mwa Uturuki.

Akiwepo balozi wa Makedonia Kaskazini, Mevlüt Çavuşoğlu amesema kuwa Umoja wa Ulaya hakuheshimu ahadi yake iliotoa wakati ambapo taifa hilo lilifikia hatua ya kubadili jini.Habari Zinazohusiana