Shirika la YTB laanza shughuli zale Syria

Shirika la udhamini wa masomo Uturuki YTB laanza  shughuli zake katika maeneo salama nchini Syria

Shirika la YTB laanza shughuli zale Syria

 

Shirika la udhamini wa masomo Uturuki YTB laanza  shughuli zake katika maeneo salama nchini Syria.

Shirika la adhamini wa masomo nchini Uturuki YTB limeaanza shughuli zake katika maeneo salama nchini Syria kwa kutoa msaada kwa watoto.

Baada ya jeshi la Uturuki kuwaondoa magaidi wa kundi la YPG  tawi la kundi la kigaidi la PKK katika operesheni yake Chanzo cha Amani, shirika la YTB limetoa msaada kwa watoto.

Shirika la YTB limetoa msaada katika maeneo ambayo magaidi waliondolewa baada ya  operesheni ya Frati na Tawi la Mzaituni.

Hafla maaulu kwa ajili ya watoto zaidi ya  500 iliandaliwa  Novemba  10 na inatarajiwa kumalizika Novemba  14.

Katika hafla hiyo kulikuepo maonesho ya kitamaduni.


Tagi: Jerabluz , YTB , Syria

Habari Zinazohusiana