Waziri mkuu wa Malesia atolea wito vijana kufanya kazi nchini Uturuki

Waziri mkuu wa Malesia  Mahathir Mohammed atolea wito vijana kufanya kazi nchini Uturuki

1248113
Waziri mkuu wa Malesia atolea wito vijana kufanya kazi nchini Uturuki

 

Waziri mkuu wa Maleysia  Mahathir Mohammed atolea wito vijana kufanya kazi nchini Uturuki.

 Mahathir Mohammed, waziri mkuu wa Maleisia atolea wito vijana wa Maleisia kufanya kazi nchini Uturuki na kuchukuwa ujuzi.

Katika hotuba yake aliotoa katika siku kuu ya taifa  Melaka, ametolea wito wanafunzi wa chuo kujifunzo taaluma tofauti kutoka Uturuki.

Mahathir amekemea mabadiliko  asi katika jamii nchini  maleisia kwa kuchukuwa tamaduni za Magharibi na kuwatolea wito wanafunzi kujifunzo kutoka Uturuki.

Waziri mkuu huyo wa Maleisia amesema kwamba vijana wanatakiwa kufuatia utamaduni wao wa Mashariki laa sivyo Maleisia itakuwa bado ni ardhi ya mkoloni.Habari Zinazohusiana