Trump: "Iran yacheza na moto"

Rais wa Marekani asema kuwa Iran yacheza na moto baada ya taifa za AIEA kuhusu  nyuklia kuchapishwa

1229438
Trump: "Iran yacheza na moto"

Rais wa Marekani Donald Trump asema kwamba Iran inacheza na moto baada ya shirika la kimataifa la kufuatilia masuala ya nyuklia kufahamisha kuwa Iran imezidisha kiwango chake cha urutubishaji wa madini yake ya Uranium.

Jumatatu, rais Trump amesema kuwa Iran inasheza moto kwa kuzidisha kiwango chake za urutubishaji wa Uranium.

Kwa mujibu wa Trump Iran amekiuka  makubaliano ya nyuklia.

Ikulu ya rais wa Marekani White House amefahamisha kuwa Iran inatambua vema  kila inachofanya haina haja  kuitumia ujumbe wa aina yeyote.

Rais wa Marekani Donald Trump amezzungumza kwa njia ya simu na  rais wa Ufaransa Emmanuel Macron  kuhusu kiitendo hicho cha Iran kuzidisha kiwango chake za urutubishaji wa madini yake ya Uranium.

Msemaji wa kitengo kinachohusika na  nishati ya nyuklia Iran Behrouz Kamalvandi alisema kuwa Iran itazidisha kiwango cha urutubishaji wa Uranium kutokana  na kwamba mataifa ya Ulaya bado hayajeheshimu makubaliano ya nyuklia   yaliosainiwa na Iran.Habari Zinazohusiana