Bomba la mradi wa TANAP lakamilika kuanza kusafirisha gesi kuelekea Ulaya

Bomba la mradi wa TANAP lakamilika kuanza kusafirisha gesi kuelekea Ulaya

1228344
Bomba la mradi wa TANAP lakamilika kuanza kusafirisha gesi kuelekea Ulaya
 

Bomba la kufarisha gesi asilia TANAP kupitia nchini Azerbaijani lakamilika na kuwa tayari kuanza shughuli zake kuelekea Ulaya

Bomba la kusafirishia mafuta la mradi wa TANAP lamalizika na lipo tayari kuanza shughuli zake za usafirishaji wa gesi asilia kuelekea barani Ulaya kutipia nchini Azerbaijan.

Usafirishaji wa gesi wa mradi wa TANAP unatarajiwa kuanza ifikapo mwaka  2020.

Kama ilivvyokuwa imepangwa, usafirshaji gesi  ulitarajiwa kuanza Julia mosi mwaka 2019.

Taarifa kuhusu bombao hilo imetolewa na uongozi wa TANAP Jumatatu.

Kituo cha kwanza na bomba hilo la TANAP kinapatika Ardahan Kaskazini-Mashariki mwa Uturuki na kupita katika mikoa 20 na vijiji zaidi ya  600 hadi Ipsala mkoani Edirne.

Baada  ya kufika Edirne, gesi hiyo inaelekezwa barani Ulaya.

Bomba hilo lina urefu wa  kilomita  1850.

Kiwango cha dola  bilioni 7 zimetumiwa kufaanikisha mradi huo.

 Habari Zinazohusiana