Umoja wa Mataifa watuma msaada Idlib nchini Syria

Umoja wa Mataifa (UN) umetuma misaada 31 ya kibinadamu Idlib nchini Syria.

Umoja wa Mataifa watuma msaada Idlib nchini Syria

Umoja wa Mataifa (UN) umetuma misaada 31 ya kibinadamu Idlib nchini Syria.

Malori yaliyobeba misaada hiyo yamepitşa Hatay nchini Uturuki na kuingia Syria.

Misaada  hiyo itasambazwa kwa wale walio na mahitaji mjini Idlib na maeneo ya vijijini.

Syria imekuwa katika machafuko toka mwaka 2011.Habari Zinazohusiana