Meli za kivita za Marekani zakatiza mlango bahari wa Taiwan

Wizra ya ulinzi ya Taiwan yaarifu kwamba hapo jana meli 2 za kijeshi za Marakani zimekatiza mlango bahari wa Taiwan

Meli za kivita za Marekani zakatiza mlango bahari wa Taiwan

Imefahamika kwamba meli 2 za kijeshi za Marekani zakatiza mlango bahari wa Taiwan.

Wizara ya ulinzi ya Taiwan, jana ilifahamisha kwamba meli mbili za kijeshi za Marekani zilikatika katika mlango bahari wa Taiwan.

Wızara hiyo ilifahamisha kwamba meli hizo zilikuwa na uhuru wa kukatiza mlango bahari wa Taiwan.

Mpaka sasa China bado haijatoa taarifa yeyote kuhusiana na meli hizo kukatiza mlango bahari wa Taiwan.

 Habari Zinazohusiana