Zelenskiy kula kiapo Mei 20

Mshindi wa uchaguzi nchini Ukraine,Vladimir Zelenskiyi kula kiapo na kuanza rasmi kutumika majukumu ya Uraisi

Zelenskiy kula kiapo Mei 20

Mshindi wa uchaguzi wa uraisi nchini Ukraine, Vladimir Zelenskiy,kula kiapo rasmi na kuanza kutumikia majukumu ya uraisi Mei 20.

Kwa mujibu wa habari zilizotolewa na shirika la habari la Ukrinform, Katika bunge laUkraine lenye wabunge 331, wabunge 315 walipiga kura rais huyo aanze kutumikia majukumu yake mapya tar 20, Mei.

Katika mzunguko wa pili wa uchaguzi wa rais uliofanyika April 21, mchekeshaji, Vladimir Zelenskiy, alipata ushindi wa asilimia 73,22 huku mpinzani wake na rais aliyepo madarakani Petro Poroşenko akipata asilimia 24,45 ya kura.Habari Zinazohusiana