Mauaji ya waandishi wa habari yakithiri Mexico

Mwandishi wa habari ameuawa katika jimbo la  Quintana Roo kusini mashariki mwa Mexico.

Mauaji ya waandishi wa habari yakithiri Mexico

Mwandishi wa habari ameuawa katika jimbo la  Quintana Roo kusini mashariki mwa Mexico.

Katika taarifa kutoka ofisi ya mwendesha mashitaka, mwili wa mwandishi huyo wa polisi Francisco Romero umepatikana pwani.

Katika taarifa, imeonekana kuwa Romero ameuawa katika mashambulizi ya silaha.

Ripoti zimeonyesha kuwa matukio ya mauaji ya waandishi wa habari yanazidi kuongezeka nchini Mexico.

Kwa kifo cha Romero huko Mexico, idadi ya waandishi wa habari waliouawa imeongezeka hadi 145 tangu 2000.

Wafanyakazi wa vyombo vya habari 21 wahajulikani walipo toka 2005 nchini humo.Habari Zinazohusiana