Leo katika Historia

Leo katika Historia

Leo katika Historia

 

 Mtunzi wa  mashahiri wa Uturuki Ziya Paşa aliaga dunia Mei 17 mwaka 1880.

Vita vya pili vya dunia, jeshi la Ujerumani liliingia mjini Brussels Mie 17 mwaka 1940.

Sheria iliokuwa ikipiga marufuku watoto wamarekani weusi  kusoma  katika shule moja na watoto wa kizungu ilifutwa Mei 17 mwaka 1954.

Mtunzi wa mashahiri wa Uturuki Nurullah Ataç aliaga dunia Mei 17 mwaka 1957 mjini Istanbul.

 Mpşga picha na  mkweaji milima wa Uturuki Nasuh Mahruki  alikwea   hadi katika kilele cha Everest Mei 17 mwaka 1995. Nasuh Mahruki alikuwa muislamu wa kwanza na  mturuki wa  kwanza  kukwea katika   mjima wa Everest katika kilele chake.

Timu ya Galatasaray ilinyakua kombe  la UEFA Mei 17 mwaka 2000 na kuwa timu ya kwanza ya kabumbu  ya Uturuki kuchukuwa kombe hilo.


Tagi: Historia

Habari Zinazohusiana