Watu wawili wauawa na wengine 11 wajeruhiwa Syria

SHambulizi katika eneo ambalo kulisainiwa makubaliano ya kusitisha mapigano Syria lapelekea vifo vya watu  wawili na kuwajeruhi wengine 11

Watu  wawili wauawa na wengine 11 wajeruhiwa Syria

Shambulizi katika eneo ambalo kulisainiwa makubaliano ya kusitisha mapigano Syria lapelekea vifo vya watu  wawili na kuwajeruhi wengine 11. 

Jeshi la anga na serikali ya Assad limetekelezwa  mashambulizi dhidi ya eneo ambalo kulisainiwa  makubalainao ya kusitihwa mapigano na kuwa eneo salama Idlib nchini Syria.

Katika shambulizi hilo watu wawili wameuawa na wengine 11 wamejeruhiwa.

Taarifa zimefahamisha kuwa  ndege za jeshi la serikali ya Assad  zimeshambulia kijiji cha Marratinnuman na Serakib nchini Syria.

Uturuki na Iran katika mkutano wao uliofanyika mjini Astana  kuhusu Syria ulimalizika kwa maafikiano ya kusitisha mapigano katka maeneo hayo.

Jeshi la Syria mara kwa mara limekuwa likikeuka makubaliano hayo na kushambulia maeneo ya raia. 

Makubaliano  hayo yalisainiwa Mei 5 mwaka 2017.

Makubalaino mengine kuhusu kusitishwa mapigano Syria yalisainiwa Septemba 17 mwaka 2018.

Mashirika ya kutetea haki za binadamu yamefahamisha kuwa  tangu Aprili 25 raia 142 wamekwsihauawa na wengine zaidi  ya 385 wamejeruhiwa katika mshambulizi tofauti.Habari Zinazohusiana