Uturuki na Irak kusaini  makubaliano ya ushirikiano  katika sekta ya ulinzi

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan ataraji kusaini makubaliano  ya ushirikiano na Irak katika sekta ya ulinzi

Uturuki na Irak kusaini  makubaliano ya ushirikiano  katika sekta ya ulinzi

Recep Tayyıp Erdoğan , rais wa Uturuki ataraji kusaini makubaliano  ya ushirikiano katika sekta ya ulinzi na Irak.

Waziri mkuu wa Iran Adel Abdel Mahdi alipokelewa mjini Ankara katika ziara yake rasmi na rais Erdoğan Jumatano.

Viongozi hao walizungumza na waandishi wa habari kwa pamoja na kuzngumzia mikutano yao waliofanya hapo awali kuhsu ushirikiano kati ya Uturuki na Irak.

Rais Erdoğan amewafahamisha waandishi wa habari kuwa mazungumzo kati yake na waziri mkuu wa Irak yalikuwa  yenye umihimu   katika ushirikiano kati ya mataifa yao  mawili.

Vile vile ushirikiano kati ya Uturuki na Irak ni  usalama na utulivu katika maeneo ya mipakani  mwa mataifa hayo mawili.Habari Zinazohusiana