Putin tayari kukutana na Trump

Rais wa Urusi Vladimir Putin aMEsema yuko tayari kukutana na Rais wa Marekani Donald Trump katika mkutano wa G20 huko Osaka, Japan

Putin tayari kukutana na Trump

Rais wa Urusi Vladimir Putin aMEsema yuko tayari kukutana na Rais wa Marekani Donald Trump katika mkutano wa G20 huko Osaka, Japan

Putin akizungumza huko Sochi, amsema kuwa Trump naye anatarajia kukutana wakati wa mkutano huo wa G20 utakaofanyika Osaka nchini Japan.

Katika mazungumzo yake,Putin amesema kuwa;

"Ikiwa upande wa Marekani upo tayari kwaajili ya mazungumzo maalum, kama nilivyosema mara nyingi kabla, tuko tayari kufanya mazungumzo haya popote, ikiwa ni pamoja na Vienna." 

Mkutano wa kwanza wa G20 wa Japan utafanyika tarehe 28-29 Juni.

Trump alisema mapema kwamba anatarajia kukutana na Rais wa Urusi Vladimir Putin na mwenzake wa China, Shi Jinping katika Mkutano wa G20.


Tagi: mkutano , Putin , Trump

Habari Zinazohusiana