Jengo laporomoka nchini China

Jengo moja la kiwanda limeporomoka nchini China

Jengo laporomoka nchini China

Jengo moja la kiwanda laporomoka jijini Shanghai , China.

Watu 11 waliokuwa wamefukiwa na kifusi cha jingo hilo lililoporomoka wameokolewa.

Mamlaka zimefahamisha kwamba jengo hilo liliporomoka saa 5.00 masaa ya eneo hilo, Watu zaidi ya wanazaniwa walikuwepo  katika jengo hilo.

Timu nyingi za uokoaji, afya na zimamoto zilifika eneo la tukio kwa ajili ya kazi ya uokoaji.


Tagi: China , Shanghai

Habari Zinazohusiana