Hali ya mtafaruku baada ya Helikopta kutua mtoni

Hali ya mtafaruku ilishuhudiwa kwa muda baada ya helikopta kutua mtoni jijini New York

Hali ya mtafaruku baada ya Helikopta kutua mtoni

Hali ya mtafaruku ilijiri pale  helikopta moja ilipotua katika mto Hudson jijini New York nchini Marekani.

Taarifa ilyotolewa na kitengo cha polisi cha New York ilisema helikopta hiyo iliyokuwa itue katika kiwanja kilichopo magharibi mwa Manhatan, ilitua mtoni.

Taarifa hiyo ilisema rubani aliokolewa kutoka majini na baadae helikopta nayo ikatolewa ikiwa salama.Habari Zinazohusiana