Matatizo katika huduma za Instagram,Whatsapp na Facebook duniani

Kumekuwa na matatizo katika huduma za mitandao ya kijamii ya Instagram,Whatsapp na Facebook dunaini kote.

1194090
Matatizo katika huduma za Instagram,Whatsapp na Facebook duniani

Kumekuwa na matatizo katika huduma za mitandao ya kijamii ya Instagram,Whatsapp na Facebook dunaini kote.

Hali hiyo imeathiri baadhi ya watumiaji wa mitandao hiyo nchini Uturuki pia.

Kulinagana na Naibu Waziri wa Miundombinu na Usafiri wa Uturuki Ömer Fatih Sayan,amebainisha kuwa tatizo hilo liliwakumba watumiaji wa mitandao hiyo duniani kote limewakumba waturuki pia.

Katika ukurasa wake wa Twitter,waziri huyo amesema kuwa "Huduma za Instagram, Facebook na Whatsapp  zina matatizo duniani kote na watumiaji katika nchi yetu pia wanaathiriwa kwa kiasi fulani." Habari Zinazohusiana