Adhabu ya kifo nchini Saudi Arabia

Watu 37 wamehukumiwa kifo kwa madai ya kuunda makundi ya kigaidi na kushirikiana na maadui nchini Saudi Arabia.

Adhabu ya kifo nchini Saudi Arabia

Watu 37 wamehukumiwa kifo kwa madai ya kuunda makundi ya kigaidi na kushirikiana na maadui nchini Saudi Arabia.

Kulingana na shirila la habari la Saudi Arabia SPA,watu 37 wamehukumiwa adha bu ya kifo katika miji ya Riyadh,Makkah,Madina,Al Kasim,Asir na Ash Sharqiyah kwa makosa ya kuanzisha shirika la kigaidi, mashambulizi katika vituo vya polisi , kuua vikosi vya usalama, kushirikiana na vyama vya maadui.

Amri hiyo imetekelezwa na amri ya mfalme baada ya kupitishwa na Mahakama ya Rufaa na Mahakama Kuu nchini huo.

Hakuna taarifa zaidi iliyotolewa kuhusu wale waliopewa adhabu hiyo zaidi ya kuwa ni raia wa Saudi Arabia.Habari Zinazohusiana