Mfumo wa kujihami na makombora S-400 ni kwa ajili ya usalama wa Uturuki

Mfumo wa kujilinda na makombora ni kwa ajili ya usalama wa Uturuki

Mfumo wa kujihami na makombora S-400 ni kwa ajili ya usalama wa Uturuki

Mfumo wa kujilinda na makombora ni kwa ajili ya usalama wa Uturuki

Wizara ya ulinzi  ya Uturuki na mfumo wa kujilinda na makombora wa S-400 kutoka Urusi ni kwa ajili ya usalama wa Uturuki

Msemaji wa rais wa Uturuki Ibrahim Kalın asema kwamba mfumo wa kujilinda na makombora wa S-400 ambao Uturuki umenunua kutoka Urusi  haulengi taifa lolote lile basi  mfumo huo umenunuliwa kwa ajili ya ulinzi na usalama wa Uturuki na waturuki.

Hayı, msemaji wa ikulu  Ibrahim Kalın ameyasema akiwa katika mkutano wa 37  ambao hufanyika  kila mwaka kwa ushirikiano wa Marakeni na baraza la  washirika wa Uturuki na Marekani  mjini Washington.

Ibrahim Kalın ameendelea kusema  kuwa  Uturuki na Marekani ni mataifa washirika ambayo yameongeza juhudi ya ushirikiano katika  nyanja tofauti.

Suala zima  kuhusu ufadhili wa kundi la wanamgambo wa  YPG/PKK kutoka Marekani na wahaini wa kundi la FETÖ  limejadiliwa.

Ikumbukwe kuwa wahaini wa kundi la FETÖ ndio wanahusika na jaribio la mapindu Julai 15 mwaka 2016 nchini Uturuki.Habari Zinazohusiana