Waziri wa mambo ya nje wa Iran na ziara nchini Uturuki

Jewad Zarif, waziri wa mambo ya nje wa Iran kuzungumzia hali inayoendelea nchini Syria katika ziara yake nchini Uturuki.

Waziri wa mambo ya nje wa Iran na ziara nchini Uturuki

Jewad Zarif, waziri wa mambo ya nje wa Iran  kuzungumzia  hali inayoendelea nchini Syria katika ziara yake nchini Uturuki.

Waziri wa mambo ya nje wa Iran Jewad Zarif atarajiwa kufanya  ziara rasmi nchini Uturuki a mabpo atazungumza na viongozi wa Uturuki kuhusu hali iliopo nchini Syria.

Katika taarifa iliotolewa na ofisi za waziri huyo wa mambo ya nje wa  Iran Mohammad Jawad Zarif, anataraji mzozo wa Syria kutatuliwa  kwa njia ya mazungumzo kwa ushirikiano na  mataifa ktofauti katika ukanda.
Masuala tofauti   ya ushirikiano kati ya Uturuki na Iran yatajadli katika mazungumzo atakayofanya viongozi tofauti wa Uturuki.

Masuala katika ukanda na Afrika Kaskazini pia yatazungumziwa katika mazungumzo yao.

Ziara hiyo ya waziri wamambo ya nje wa Iran nchini Uturuki ni ziara yake ya pili katika kipindi cha mwezi mmoja.Habari Zinazohusiana