Rais wa Uturuki na janga la moto  katika kanisa la Notre-Dame de Paris

Rais wa Uturuki aonesha majonzi  baada ya janga la  moto lililokumba  Kanisa la Notre-Dame de Paris nchini Ufaransa

erdoğan.jpg

 

Recep Tayyıp Erdoğan, rais wa Uturuki ameonesha maskitiko kufuatia  janga la moto  lililokumba kanisa la kihistoria la Notre-Dame de Paris nchini Ufaransa.

Ajali ya moto katika kanisa  hilo imetokea  Jumatatu   majira ya jioni.

Katika ujumbe wake katika ukurasa wake wa Tweeter, rais Erdoğan amesema kuwa kanisa hilo   mjini Paris ni   ni nembo  na uruthi wa ulimwengu.Habari Zinazohusiana