Kanisa kuu la kihistoria la Notre Dame de Paris Ufaransa lawaka moto

Kanisa kuu la Notre Dame de Paris lawaka moto huku chanzo cha moto huo  hakaijajulikana

Kanisa kuu la kihistoria la Notre Dame de Paris Ufaransa lawaka moto

 

Kanisa kuu la Notre Dame la Jimbo kuu Katoliki  mjini Paris, nchini  Ufaransa, limewaka moto huku chanzo kilichosababisha moto kikiwa bado hakijajulikana.

Kanisa hilo  la Notre Dame de Paris linatajwa kujengwa katika  karne ya 13na ni moja ya vivutio vikikubwa vya  utalii jijini Paris.

Takwimu zimefahamisha kwamba  watu zaidi ya milioni  13 hutembelea kanisa hilo  kutokana na historia yake kila mwaka.Habari Zinazohusiana