Leo katika Historia

Leo katika Historia

1167730
Leo katika Historia

 

Machi 21 mwaka 1590 ,  makubaliano ya Ferhat Pasha kati ya utawala wa dola ya Uthamania na Iran.

Machi 21 mwaka 1590, makubalianao hayo ya Ferhat Pasha yalisainiwa kati ya Utawala wa Dola ya Uthmania na Iran chini ya utawala wa Sefevida ambayo ni Iran ya sasa.  Makubaliano hayo yalisainiwa  kukomesha vita ambavyovilikuwa tayari vimedumu kwa muda wa miaka 12. Kutokana na makubaliano hayo, Utawala wa Dola ya Uthamania iliongeza ardhi katika mipaka yake ya Mashariki.

Machi 21 mwaka 1779, Utawala wa Dola ya Uthamania ulisaini makubaliano  ya AynaliKavak na Urusi.

Machi 21 mwaka 1788, Mahammed Reza Shah Pahalavi alitolea wito ulimwengu mzima kuliita taifa lake « Iran » ikiwa na maana taifa la waaryan na sio Farsi.  Taifa hilo lilikuwa likifahamika  tangu karne ya 6 kabla ya ujio wa Nabii Issa. Haidi mwaka 1935 ilikuwa ikifahamia kama Dola  ya Kifarsi.

Machi  21 mwaka 1963,  Gereza la Alcatraz lilifungwa.  Kiswa cha Alcatraz ni kisiwa mabcho kilitumiwa  kama gereza kati ya mwaka 1861 na mwaka 1963.

 Machi 21 mwaka 1973  muimbaji mashuhuri wa Uturuki Aşık Veysel aliaga dunia.

Machi  21 mwaka 2009,  Kituo cha habari cha TR Avaz  kilianza kurusha taarifa, vipindi vya kitamaduni hadi  Mashariki ya mbali na Balkans.Habari Zinazohusiana