Leo katika Historia

Leo katika Historia, Februari 6

1139885
Leo katika Historia

Februari 6 mwaka 1952, Elizabeth wa Pili atawazwa kuwa  malkia wa Uingereza baada ya baba yake kufariki.

Februari 6 mwaka  1928 kipengele cha katibu ya Uturuki kilichokuwa kukitaja kuwa  dini ya taifa ni uislamu kiliondolewa na kuwa taifa lisilokuwa na dini.

Februari 6 mwaka 1952  Februari 6 mwaka 1952, Elizabeth wa Pili atawazwa kuwa  malkia wa Uingereza baada ya baba yake kufariki nchini Uingereza. Malkia Elizabeth ni malkia katika mataifa 16 miongoni mwa mataifa 53  ya Commonwealth na gavana  mkuu wa kanisa la kianglikana.   Ni kiongoni mwenye umri mkubwa ulimwenuni na ambae alievunja rikodi  kuwa katika madaraka.

Februari 6 mwaka 1958, ndege iliokuwa ikiwasafirisha wachezaji wa timu ya kabumbu ya Manchester United alifanya ajali wakati ilipokuwa ikitua katika uwanja wa ndege wa Munich  nchini Ujerumani.   Watu 22 walifariki  katika ajali hiyo  wakiwemo wachezaji wanane wa timu ya Manchester United. 

Februari 6 mwaka 1959, majaribio ya kwanza ya kombora la masafa marefu  kutoka katika moja kwenda katika bara lingine . Jaribio la  la kombora hlo la  ”Titan” lilifanyiwa majaribio katik akituo cha anga cha Cape Canaveral Florida. Jaribio hilo lililfaulu.

Februari 6 mwaka 1960,  mtaarishaji mashuhuri wa muziki  Selahattın Pinar alifariki mjini Istanbul na kuicha tasnia ya muziki katika majonzi.Habari Zinazohusiana