Jengo la "Facebook" latishiwa kulipuliwa

Jengo moja la makao makuu ya mtandao wa Facebook California  nchini Marekani,limetahadharishwa na uwezekano wa kuwepo kwa bomu ndani yake.

1105363
Jengo la "Facebook" latishiwa kulipuliwa

Jengo moja la makao makuu ya mtandao wa Facebook California  nchini Marekani,limetahadharishwa na uwezekano wa kuwepo kwa bomu ndani yake

Kituo cha polisi cha Menlo Park  ilitangaza uwezekano wa kuwepo kwa bomu katika moja ya amjengo hayo majira ya saa 16.30 saa za Marekani.

Wafanyakazi walilazimika kuhamishwa kwa ajili ya uchunguzi kufanyika.

Hata hivyo hakuna dalili yoyote ya bomu iliyoonekana baada ya jengo hilo kufanyiwa uchunguzi.Habari Zinazohusiana