Mkutano wa G20 na mwanamfalme wa Saudia

Kutoka katika kituo cha utafiti wa masuala ya kisiasa, kşuchumi na jamii SETA, mtafiti Can ACUN anatufafanulia

Mkutano wa G20 na mwanamfalme wa Saudia

Mkutano wa G20 na mwanamfalme wa Saudia

Mkutano wa G20 ulioandaliwa mjini Buenos Aires nchini Argentina uliwakusanyisha viongozi tofauti  ambao walizungumza na kujadili kuhusu masuala ya kiuchumi ikiwemo pia masuala tofauti ya kimataifa. Mazungumzo kati ya viongozi wa G20 Argentina haswa yalilenga sekta ya uchumi. Suala lingine ambalo lilizungumziwa na  kuhusu tuhuma dhidi ya mwanamfalme wa Saudia Mohammed bin Salman.

Vita vya kiuchumi kati ya Marekani na China , sakata la mauaji ya mwanahabari Jamal Khashoggi na tuhuma zinazomkabili mwanamfalme wa Saudia Mohammed bin Salman.

Mwanamfalme wa Saudia anashukiwa kuhusika na mauaji  ya mwanahabari  Jamal Khashoggi alieuawa katika ubalozi mdogo wa Saudia mjini Istanbul nchini Uturuki.

 Kutoka katika kituo cha utafiti  wa masuala ya kisiasa, kşuchumi na jamii SETA, mtafiti Can ACUN anatufafanulia … 

 Baada ya mauaji ya mwanahabari Jamal LKhashoggi katika ubalozi mdogo wa Saudia mjini Istanbul na uchunguzi ulioendeshwa na kikosi maalumu ya Uturuki na kuzungumziwa katika vyombo vya habari vya kimataifa hapo awali Saudia ilikana kuwa mwanahabari aliondoka katika ubalozi wake huo huku  ushahidi wa kamera ukiombwa bila ya kutolewa ndipo Saudia ilikiri kuwa mawanahabari huyo aliuawa katika ubalozi wake mjini Istanbul.

Jamal Khashoggi alikuwa akitumikia jarida la Washington Post la Marekani, jambo ambalo kwas asa linatakiwa kuwekwa bayana kwa kuwa n dhahiri kuwa Khashoggi aliuawa ni nani ambae alitoa amri ya kuuawa kwa Khashoggi.

Raia wa Saudia  kadhaa wanaambatanishwa na mauaji ya mwanahabri huyo na ni wazi kuwa baadhi ya viongozi wanahusika pia na mauaji ya mwanahabari huyo kama tuhuma zinavyomkabili  mwanamfalme  Mohammed bin Salman. Baada ya uchunguzi   CIA ya Marekani imetoa taarifa katika vyombo vya habari kuwa mwanamfalme wa Saudia Mohammed bin Salman anahusika na  mauaji ya mwanahabari Jamal Khashoggi.

Wakati mjadala ukiendelea kuhusu sakata hilo, mwanamfalme wa Saudia  alifanya ziara  katika mataifa kadhaa ya kiarabu na baade kujielekeza katika mkutano wa G20 mjini Buenos Aires nchini Argentina. 

Mohammed bin Salman alitembelea  baadhi ya wafalme katika mataifa hayo ya kiarabu huku waandamanaji wakipinga ujio wake katka mataifa hayo chini ya misingi ya demokrasia. Ziara ya Mohammed nchini Tunisi ilikemewa na wandamanaji kwa kiasi kikubwa katika mataifa ya kiarabu  kuliko katika mataifa mengine. Waandamanaji walikuwa na mabango yaliokuwa yakimtuhumu moja kwa moja Mohammed bin Salman  kuhusika na mauaji  ya Khashoggi.

Baada ya zşara yek nchini Tunsia  mwanamfalme huyo alijielekeza Argentina kushiriki katika mkutano wa G20 na alichagua makaazi yake  katika ubalozi wa Saudia. Nchini Argentina  mwanamfalme  Mohammed bin Salman anatuhumiwa kama mhalifu na  mahakama nchini Argentina.

Viongozi walioshriki katika mkutano huo wa G20  walijaribu kukwepa mazungumzo kuhusu tuhuma dhidi ya  mwanamfalme wa Saudia.

Mohammed  bin Salman alizungumza kwa kiasi na baadhi ya viongozi kama ilivyoonekana katika picha zilzonaswa katika mkutano wa G20. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ni miongoni mwa viongozi waliozungumza na mwanamfalme .

Rais wa Urusi Vladimir Putin ana ushirikiano binafsi na mwanamfalme wa  Saudia kama ilivyoshuhudiwa katika  mapokezi.

Baada ya mkutano wa G20, Marekani ilikusanya taarifa zaidi ambazo zinahusu mauaji ya  Jamal Khashoggi.

CIA ilitoa taarifa  kuhusu  walğochaguliwa katika baraza la Seneti la Marekani kuhusu mauaji ya Khashoggi.

Baada ya taarifa hiyo kulifanyika mkutano  kwa ufupi na waandishi wa habari Corker na Corker  na seneta  Graham  kuhusu mauaji na tuhuma dhidi ya mwanamfalme wa Saudia Mohammed bin Salman.

Kwa upande mwingine  tukiangalia uamuzi wa Uturuki kutoka waraka wa kukamatwa kwa watu wawili wa karibu ya mwanamfalme ni kwamba  washawishi wa karibu wa mwanamfalme wanapungua.

Vita  vya kiuchumi kati ya Marekani na Chian lilikuwa sauala jingine katika  mkutano  huo wa G 20. Marekani ilionekana kama kupoteza mulekeo kwa  kiasa katika biashara kutokana na mvutano ulioibuka kati yake na China.

 Mzozo wa kibiashara kati ya utawala wa Trump na China umepelekea mabadiliko.

Vikwanzo vya Marekani  vilivyotolewa na Trump ambavyo vilikuwa vinalengo  baadhi ya bidhaa kutoka China vivo hivyo China ilichukuwa pia vikwazo.

Uchumi wa China umepiga hatua kubwa  kiasi kwamba imechukuliwa kama tishio.

Kutoka katika kituo cha utafiti  wa masuala ya kisiasa, kşuchumi na jamii SETA, mtafiti Can ACUN.

 

 Habari Zinazohusiana