Yusuf Islam: Ulimwengu wa kiislamu unatakiwa kuwa na malengo

Muimbaji na mwanaharakati wa kiislamu Yusuf Islam atolea wito  ulimwengu wa kiislamu  kuwa na malengo na kuacha masikitiko

Yusuf Islam: Ulimwengu wa kiislamu unatakiwa kuwa na malengo

Muimbaji na mwanaharakati wa kiislamu Yusuf Islam wa Uingereza atolea wito ulimwengu wa kiislamu  kuwa na malengo na kuacha  kuwa na masikitiko pindi unapoangalia  nyuma.

Yusuf Islam alishiriki katika  katika maonesho yaliofanyika mjini Istanbul nchini Uturuki.

Katika maonesho hayo Yusuf Islam ambae pia anatambulika kwa jina la Cat Stevens  amesema kwamba  ni nadra kuona taifa la kiislamu linajitekenezea ndege,  magari na vyombo vingine   vya kisasa katika teknolojia.

Maonesho hayo  ambayo yalipewa jina la « Halal 2018 » yalifanyika mjini Istanbul.

Cat amesikitishwa kuona kuwa ulimwengu wa kiislamu  umeacha  wajibu wake wa ujumbe mwema  kama kitabu kitakatifu cha Quran kinavyofundisha.

Yusuf Islam alislimu mwaka 1978.Habari Zinazohusiana