Erdoğan: "Hakuna tofauti kati ya wanaume na wanawake katika utamaduni wetu"

Rais wa Uturuki asema kuwa hakuna tofauti bain aya wanawake na wanaume katika utamaduni wa kituruki

1093700
Erdoğan: "Hakuna tofauti kati ya wanaume na wanawake katika utamaduni wetu"

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan asema kuwa hakuna tofauti yeyote  baina  ya wanawake na wanaume katika utamaduni wa kituruki.

Rais wa Uturuki amekemea wale ambao wanajificha chini ya kivuli cha kutetea usawa kati ya wanawake na wanaume   na kuwatumia wanawake kama biashara.

Rais Erdoğan amekemea  wale wanaoonekana wakitetea haki   sawa  kati ya wanawake na wanaume huku wakiendelea kuwatumia wanawake kama biashara.

Hayo rais wa Uturuki ameyazungumza katika ufunguzi wa  kongamano la 3 la kimataifa la wanawake na haki mjini Istanbul.

Katika utamaduni wa kituruki mwanamke amepewa nafasi muhimu ambayo ni ut iwa mgongo katika jamii na jukumu kubwa kwa wanawake katika maisha ya kila siku.Habari Zinazohusiana