Iran yatishia kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia

Iran kupitia waziri wake wa mambo ya nje  yatishia kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia

Iran yatishia kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia

Iran kupitia waziri wake wa mambo ya nje Mohammad Jawad Zarif yatishia kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia iwapo mahitaji yake ya kiuchumi hayatojitosheleza.

Taarifa hiyo imetolewa baada ya mkutano wa  baraza la shura  kwa  waandishi wa habari Jumanne.

Taarifa iliotolewa na waziri huyo wa mambo ya nje wa Iran imesema kuwa mataifa ya Umoja wa Ulaya ambayo yamesain makubaliano na Iran yanafahamu kuwa iwapo mahitaji yake ya kiuchumi hayatokidhi mahitaji ya Iran.



Habari Zinazohusiana