Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki afanya mazungumzo na wenzake wa Marekani na Ujerumani

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki amefanya mazungumzo na waziri wa mambo ya nje wa Marekani na Ujerumani.

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki afanya mazungumzo na wenzake wa Marekani na Ujerumani

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki amefanya mazungumzo na waziri wa mambo ya nje wa Marekani na Ujerumani.

Waziri Mevlüt Çavuşoğlu amefanya mazungumzo na Mike Pompeo pamoja na Heiko Maas.

Hakuna taarifa yoyote iliyotolewa kuhusu masuala yaliyojadiliwa katika mazungumzo hayo.

Hapo awali waziri Çavuşoğlu alizungumza na Jean-Yves Le Drian wa Ufaransa.Habari Zinazohusiana