Diplomasia kuhusu Idlib yaendelea

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki azungumza na waziri wa mambo ya nje wa Ufaransa kuhusi Idlib

Diplomasia kuhusu Idlib yaendelea


Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu azungumza kwa njia ya simu na waziri wa mambo ya nje wa Ufaransa Jean Yves Le Drian kuhusu Syria.

Katika mazungumzo yao viongozi  hao wamezungumzia pia kuhusu mkutano  unaotarajiwa  kufanyika mjini Istanbul Ijumaa.Habari Zinazohusiana