Msimu wa mvua nchini India

Takribani watu 650,000 wameathiriwa na mvua katika eneo la Odisha nchini India.

Msimu wa mvua nchini India

Takribani watu 650,000 wameathiriwa na mvua katika eneo la Odisha nchini India.

Kwa mujibu wa ripoti ya vyombo vya habari vya mitaa watu zaidi ya elfu 15 wamehamishwa makazi yao na kupelekwa  mahali pa salama.

Watu zaidi ya 1,400 wamepoteza maisha yao kutokana na mvua mwaka huu nchini India.

Tagi: India , mvua , athari

Habari Zinazohusiana