Udugu na ushirikiano wa kimkakati kati ya Uturuki na Azerbaijan

Udugu na ushirikiano wa kimkakati kati ya Uturuki na Azerbaijan

Udugu na ushirikiano wa kimkakati kati ya Uturuki na Azerbaijan

Uturuki na Azerbaijani ni mataifa ambayo  yalisaini mkataba wa ushirikiano wa kidiplomasia tangu Januari 14 nwaka 1992, nş miaka zaidi ya 20 imepita mataifa hayo mawili yakiwa katika suhsirikiano.  Wiki hii katika kipindi chetu tutazyungumzia kuhusu ushirikiano kati mya mataifa hayo mawili na ushawishi wake katika ukanda mzima.

Kutoka katika  kitengo cha utafiti wa kimataifa Daktari Cemil Doğaç İğek anatufafanulia  mada yetu ...

 Uturuki ilikuwa taifa la kwanza kutambua uhusu wa Azerbaijani ambayo iliipati a uhuru wake Agosti 30 mwaka 1991. Baada  ya kujipatia uhuru wake Uturuki ililitambua taifa la Azerbaijani Novemba 1991.

 Ushirikiano kati ya Uturuki na Azerbaijan  ulianza rasmi Januari 14  mwaka  1992. Ushirikiano huo ni ushirikiano wa kidiplomasia. Mwaka 2010 . baraza la ushirikiano  la kimkakati   la juu limepelekea kuzidi kuimarisha ushirikiano kati ya mataifa hayo mawili.

Azerbaijan, Uturuki, Georgia, Uturuki, Iran ikiwemo pia  Turkmenisttani muungano huo malengo yake ni  kutoa mchango  ili kuimarisha utulivu   katika ukanda. Amani na utulivu ni moja ya vigezo vya kuimarisha ushirikiano.

Katika bahari  ya Caspiena na vyanzo vya  nishati katika soko la kimataifa kama tunavyofahamu bomba la kusafirisha  gessi la Baku kuelekea  Tbilisi na kupitia Erzurum.

Miradi  ya ushirikiano na  Azerbaijan ni hatua muhimu katika ushirikiano kimkakati  na Uturuki.  Kiwango cha ushirikiano katika  biashara  baina ya mataifa hayo mawili . Kiwango cha ushirikiano katika biashara kinakadiriwa kuwa dola bilioni 5.

Malengo ya mataifa hayo katika ushirikiano  wa kibiashara  katika kipindi cha miaka miwili kinakadiriwa  kuwa kitafikia dola bilioni 15 ifikapo mwaka 2023.

Ushirikiano kati uya Azerbaijan na  uturuki  ni moja kati ya  ngome za   ushirikiano na mshikamo  wa kimataifa.

 Mataifa hayo mawili  yanashirikiano na ushindi katika  Umoja wa Mataifa na shirika la usalama la Ulaya , baraza la Ulaya, shirikisho la   kiuchumi na bahari  Nyeusi , baraza la kşturuki na ushirikiano wa kiislamu.

- InaendeleaHabari Zinazohusiana