Aina mbili za diplomasia ya umma Asia ya Kati : Uturuki na China

Uchambuzi kutoka kwa Daktari Cemil Doğaç İpek katika chuo kikuu cha Atatürk kitivo cha ushirikiano wa kimataifa

Aina mbili za diplomasia ya umma Asia ya Kati : Uturuki na China

Diplomasia wa umma ni chombo muhimu cha sera za kigeni katika eneo la Asia ya Kati.

China anaona Asia ya Kati kama moja ya maeneo yake ya kihistoria  kwa  utekelezaji wake.  Asia ya Kati  ina umuhimu mkubwa kwa China kisiasa , usalama na   katika uchumi.

Vile vle katika eneo hilo  mahitaji yake ya nishaji  yamezidi kuongezeka . Kutokana malengo yake katika eneo la jamii ya Uigur  mahitaji yake ya nisha pia yamezidi kuongezeka zaidi ya hapo awali.

Urusi na China ni mataifa ambayo kwa sasa yameonekana kuwa  sera za kisiasa  zilizosambana katika eneo la Asia ya Kati na kupelekea kuundwa kwa  shirikisho la  Shangai.  Vile vile kunaripotiwa kuwa na  ushindani mkubwa kati ya mataifa hayo katika uhuru wa  kuitegemea kiuchumi.

 Sera za kisaisa za pia zinajihusisha na eneo hilo, Uturuki inajihusisha na sera za kisiasa katika eneo hilo kutokana na kwamba  mataifa katika ukanda huo  ni mataifa yaliohuru, mataifa ambayo yana utulivu wa kisiasa, kşuchumi, ni mataifa mabyo aynashirikiana kati yao na  kushirikiana na jumuiya ya kimataifa.

Mataifa hayo katika ukanda huo  yameingia tayari katika mfumo wa kidemokrasia .  Kutokana na hali hiyo Uturuki imetaifa mshirika muhimu katika ukanda na mataifa hayo.  Harakati za ushirikiano na mataifa tofauti kataika ukanda ni pamoja na misaada ya kibinadamu, utamaduni, elimu, vyombo vya habari na maendeleo. 

Katika  saula zima la kştamduni, kuliundwa  shirika la kimataifa la utamaduni TURKSOY mwaka 1993.

Uturuki, Azerbaijani, Kazakhstani,Kirghizistan, Uzbekistani na Turkmenistani ni mataifa wanachama wa shirika hilo la kimataifa TURSOY wakati ambapo Jamhuri ya Cyprus ya Uturuki ya Kaskazini, mataifa mengine 6 huru yenye kufungumana na  Urusi  na Jamhuri ya Gagauzia na Moldavia ni  matifa angalizi.

China inajaribu kushawishi eneo zika katika ukanda.  Mojo miongoni mwa vyombo ambavyo China inajaribu kujipenyeza  na kulinda maslahi yak katika ukanda na shirikisho la Shangai. China inajaribu kulinda maslahi yake Asia ya Kati kupitia  shirikisho hilo la Shangai ambalo linajumuisha mataifa zaidi ya manne.

Mazoezi ya kijeshi , mapambano dhidi ya ugaidi , maeneo ya kibiashara katia mipaka, soko huria  kati ya China na mtaifa   ya Asia ya Kati na njia mpya ya hariri. 

Bomba la kusafirisha  gesi lililochimbwa na China  linaunga mkono  ushirikiano kati ya mataifa ya Asia ya Kati na sio tishio kwa uhuru wa mataifa katika ukanda.   Kutokana na mabomba ya kusafirishia gesi  ya China  yaifanya Kazakhistani na Turkemestani kutokuwa na utengemezi mkubwa kwa Urusi.

 China linatakiwa kuwa taifa mbalo linatakiwa kuwa mteja mkubwa katika eneo la Asia ya Kati katika soko la gesi asilia itakapofikia mwaka 2020.  Vituo vya kuchuja mafuta  ambavyo vimeanzishwa Kisghizistani chini ya udhamini wa China  vitaondoa soko tegemezi kwa kwa mataifa katika eno hilo  katika soko la mafuta kutoka Urusi.

Vyombo vya  China katija suala la kidiplomasia vinaihusiha pia  katika njia ya propaganda na ofisi yake  ya HANBAN  ambayo inahusika na lugha ya kichina. Ofisi hiyo inahusika pia na kumtambulisha  mwanafalsafa wa kichina Konfusio.

Vituo kwa ajili ya mafunzo vilivyopewa jina la mwanafalsafa huyo  vinazidi kuongezeka.  Mafunzo  kuhusu utamaduni wa kichina na udhamini wa masomo kwa wanafunzi kuendelea kuvutia wanafunzi na kujielekeza nchini China.

Katika ubadilishanaji wa wanafunzi  na mpango wa kudhamini masomo, zaidi ya wanafanzi 150 000 ikiwa asilimia 75 ni wanafunzi kutoka  Asia ya Kati  wanapewa elimu nchini China.  Wanadiplomasia  wa kigeni wanapewa mafunzo ambayo huchukuwa muda wa miezi mitatu. Wanadiplomasia  hao  tangu kufunguliwa kwa  cchuo kikuu cha wizara ya mambo ya nje.  Malengo yake ni kuwavutia  wanasiasa  wa kigeni na  kuwa na lengo katika wakti ujao.

 Uturuki nayo kwa upande wake kutokana na umuhimu inayotoa katika ukanda inatoa udhamini wa masomo kwa wanafunzi  kutoka katika eneo hilo tangu miaka ya 1992. Kituo cha Yunus Emre  imekuwa kituo cha ambacho kinatumiwa na Uturuki kama chombo chake cha kidiplomasia  kuanzia katika  vituo vyake ambavyo vinapatikana Astana na Baku.

Shule na vituo vya mafnzo tofauti ambavyo vina ushirikiano na wizara ya elimu ya Uturuki  vinapatika katika eneo hilo la Asiaya Kati.  Chuo kikuu cha ushirikiano kati ya Uturuki na Kirgizistani Manas  kilifunguliwa mwaka 1997.  Chuo kikuu cha Ahmet Yesevi , chuo ambacho kinatambulika kwa kutoa elimu bora  kinaendelea na utafiti wake  kupitia chuo kikuu cha Kazakhistani.

 Harakati za China ambazo huwa zikilenga jamii ya Uigur  huwa zikijadiliwa katika vyombo vya habari . Katika eneo hilo la jamii ya Uigur, China inaonekana kuwa na upendeleo kwa lengo kuendelea kusambaratisha umoja na kukuza  utoafuti wa kitamaduni. China inaonekana kupendelea  jamii ya kazak na kirgiz.

Idadi kubwa ya wanafunzi wenye asili ya Asia ya KATİ  wanaodhamiwa masomo na China   huwa wakiandikishwa katika vyuo tofauti katika  eneo la Uigur. China iğnafanya hivyo bila shaka kutoka kuondoa  mila za ushawishi wa jamii ya Uingur.

Tovuti ya Tangri Tagh/Tian-Shan ambayo ilifunguliwa  kwa lengo la propaganda  ilichapisha  makala kwa lugha ya  kituruki, kirusi na Uigur.

Shirika la ushirikiano la TİKA la Uturuki  linaendesha miradi tofauti  katika sekta ya elimu, afya, utalii, misitu, kilimo na ufugaji Kazakhistani,  Kirghizistani, Uzbekşstani na Turkmenistani .

 

         Habari Zinazohusiana