Iran, Taifa lililolengwa

Kutoka katika kituo cha utafiti wa kisiasa , uchumi na jamii SETA, Can ACUN anatufafanulia

Iran, Taifa lililolengwa

 

Vikwazo vilivyowekwa na Marekani dhidi ya Iran katika kipindi cha uongozi wa rais Ahmedinejadi  viliathiri uchumi wa Iran na ndio ilikuwa malengo ya vikwazo hivyo.

Rais wa Iran Hasan Ruhani baada ya kuchaguliwa kuwa rais wa Iran  katika uchaguzi uliofanyika  alikuwa akitambulishwa kama  kiongozi mwenye msimamo wa wastani. Baada ya kusainiwa mamkubaliano ya  nyuklia katika ya Iran mataifa makubwa katika  usalama na silaha za nyuklia, mataifa matano yalikubaliana kusaini mkataba huo.  Iran iliwekewa vikwazo na Marekani licha ya matafa mengine kufahamisha kuwa yanaheshimu mkataba uliosainiwa.

Makubalaino yaliosainiwa na Umoja wa Mtaifa kuhusu nyuklia ya Iran ilikuwa matumaini makubwa kwa Iran  katika sekta ya uchumi.  Kumeshuhudiwa mabadiliko na hali ya huta ni kuvute   katika kipindi hiki cha  rais Donald Trump  ambapo suala la nyuklia ya Iran licha ya makubaliano kumeonekana hali isioeleweka kuzidi kukita mizizi.  Kumekuwa na mijadala tofauti kuhusu  nyuklia ya Iran.

Marekani ilitangaza Mei mwaka 2018 kuwa  inajiondoa katika makubaliano ya nyuklia yalosainiwa na Iran.

Kutoka katika kituo cha utafiti wa kisiasa , uchumi na jamii SETA, Can ACUN anatufafanulia

Uchumi wa Iran ilijipata  katika hali isiokuwa ya kuridhisha kutokana na Marekani kutangaza kuwa inajiondoa katika makubaliano yaliosainiwa katika Iran na mataifa makubwa katika suala zima la nyuklia.

 Wakati ambapo sarafu ya Iran ikiwa na thamani ya chini chini ya sarafu ya Marekani katika soko la kimataifa.  Sarafu ya Iran lishuka thani yake katika kipindi cha Januari na kuwa na thamani ya  44000 na kufikia  110 000 kwa sasa.   

Marekani  kabla ya kuiwekea Iran vikwazo, uchumi wa Iran  ulikuwa  ulikuwa imara na kudhoofika baada ya  kuwekewa vikwazo hivyo na kupelekeahali ya maisha kubalika.  Mbali na  vikwazo dhidi ya Iran, rais wa Marekani Donald Trump  alikuwa akitaraji  mabadiliko katika utawala  nchini Iran na kujipatia nafasi yake ya kimkakati katika eneo la Mashariki ya Kati. 

Ushirikiano na mataifa ya Ghuba  na Israel  na sera za Iran ndio moja  ya sababu za  Marekani kutaka kuingilia kati masula tofauti  katika eneo zima. Iran katika Ukanda kwa sasa inaonekana kuwa na ushawishi hivyo basi hakuna budi kwa Marekani kutumia mbinu tofauti kuizuia Iran.

Kuiwekea vikwazo Iran malengo yak eni kuidhoofisha na isiwe na ushawishi katika eneo zima.

Kuna vikwazo  dhidi  vinavyoikabili Iran,  harakati za rais wa Marekna Donald Trump  kuzuia It-ran kuwa na ushawishi  katika eneo la Mashariki ya Kati  kwas asa ilionekana kuwa  kulikuwa na malengo ya kutaka kubalisha utawala wa taifa hilo. 

Vile tunadaiwa kuwa baadhi ya mataifa katika mzima wa Mashariki ya Kati ikiwemo pia Israel  yamejaribu kutoweka wazi mtazamo wao na ghofu waliokuwa nayo dhidi ya Iran  na kuifanya Marekani ijaribu  kuzuia Iran kuwa na ushawishi.Lengo la kuishambulia Iran kwa vikwazo  ni kuifanya Iran kuwa na uwezo mdogo  wa ushawishi katika mataifa yanayopatikana katika uknda.

 Vikwazo vya Marekni dhidi ya Iran  vinalenga Iran  kushindwa  kuendesha biashara zake  kwa kutumia sarafu ya Marekani Dola.  Vile vile madili yenye thamni yanaonekana kulingwa kwa lengo la kudhoofisha uchumi  na baadae ushawishi.

 Vikwazo hivyo vya Marekani vinalenga pia sekta ya uundaji magar ina ndege . Spare za ndege  nchini Iran zimewekewa pia vikwazo na kudhoofisha sekta hiyo. Daimler ni miongoni mwa mashirika ambayo  yamesitisha  shuhuli zake za uwekezaji nchini Iran kutokana na vikwazo vya Marekani.

 Wakati ambapo  mashirika tofauti  yalikuwa na  mpango wa  kuongeza kiwango chake cha uwekezaji  nchini Iran  na kuzalisha  malori, vikwazo vya rais wa Marekani Donald Trump  dhidi ya Iran  vimepelekea  shirika hilo  kutathmini kwa mara nyingine  mpango kuhusu Iran.

Donald Trump  alitoa ujumbe  katika ukurasa wake wa Twitter kuwa mashirika ambayo yatakuwa na lengo la kushirikiana na Iran basi hayatoshirikiana na  Marekani.

 Licha ya rais wa Marekani kutoa vitisho kuhusu  ushirikiano na Iran  katika sekta tofauti,  mataifa ya  Umoja wa Ulaya  yamepinga  uamuzi huo wa Marekani wa kuiwekea vikwazo Iran.

Waziri wa mambo ya nje wa  Ujerumani Heiko Maas  amechukuwa uamuzi wa kutoa usaidizi kwa mashirika ya Ulaya  yaliopo nchini Iran. Amezungumzia mbinu na  namna ya  kufaanikisha  usafirishaji wa  fedha  kwa lengo la biashara na Iran.

Kabla ya  kuzungumzia kuhusu  vikwazo dhidi ya Iran vilivyowekwa na Marekani.

 Heiko Maas  amefahamisha kuwa  ushirikiano wa kibiashara na Iran  hakuwa na lengo la kujşkusanyia  kipato bali kwa ajili ya raia wa Iran . vile vile ushirikiano katika ya Magharibi na Iran ni kupunguza utegemezi wa gesi asilimia kutoka Urusi na sasa kuwa katika ushirikiano na Iran. Katika suala hilo  kuna mafuta pia ambayo yanahitajika katika nishati na uzalishaji katika viwanda.

 Kujiondoa kwa Marekani katika makubaliano yaliosainiwa  kuhusu nyuklia na matafa ya Umoja wa Ulaya  kumeonekana kuwa na tofauti kubwa  kati ya Umoja wa Ulaya na Marekani.

 Vikwazo na kiwango cha vikwazo vya Marekani vinaashiria  katika kipindi hiki kuwa  Marekani  imebadili sera na mfumo wake katika siasa zake za nje. Marekani imeitishia Uturuk kwa vikwazo  kufuatia sakata la mchungaji Brunson  na vikwazo vingine dhidi ya Urusi.

  Marekani imeiwekea China kodi . Hli hiyo ya Marekani kuwekea vikwazo ulimwengu mzima  bila ya kujali Umoja wa Mataifa . Kuhusu suala la Palestina  vikwazo hivyo  vitakuwa na matokeo chanya na kuifanya Marekani  kuwa nje ya ushirikiano wa kimataifa.

Kutoka katika kituo cha utafiti wa kisiasa , uchumi na jamii SETA, Can ACUN anatufafanulia

 Habari Zinazohusiana