Mlipuko wasababisha vifo vya watu wawili Idlib

Mlipuko wa gari umesababisha vifo vya watu wawili huku wengine 13 wakiwa wamejeruhiwa Idlib nchini Syria.

1024777
Mlipuko wasababisha vifo vya watu wawili Idlib

Mlipuko wa gari umesababisha vifo vya watu wawili huku wengine 13 wakiwa wamejeruhiwa Idlib nchini Syria.

Kwa mujibu wa habari bomu hilo lilitegwa katikati ya mji wa Idlib.

Mwanamke mmoja na mtoto ndio wamepoteza maisha katika shambulizi hilo.

Majeruhi wamefikishwa hospitalini kwa ajili ya matibabu.

Majengo mengi na magari ya karibu vimeharibiwa kutokana na mlipuko.Habari Zinazohusiana