Mvua kubwa yasababisha vifo vya watu watatu Vietnam

Watu watatu wamepoteza maisha yao katika mvua kali huko Vietnam.

1023794
Mvua kubwa yasababisha vifo vya watu watatu Vietnam

Watu watatu wamepoteza maisha yao katika mvua kali huko Vietnam.

Mamlaka imesema kuwa wawili waliopoteza maisha katika wilaya ya Chuong My ni watoto.

Maelfu ya watu wameripotiwa kuondolewa katika maeneo yaliyofurika.

Wataalamu wa hali ya hewa wameonya kuwa mvua itaendelea siku zijazo.Habari Zinazohusiana