Ndege binafsi yaanguka na kusababisha vifo vya watu 7 Brazil

Watu saba akiwemo rubani wameripotiwa kupoteza maisha baada ya ndege ya binafsi kupata ajali nchini Brazil.

1022639
Ndege binafsi yaanguka na kusababisha vifo vya watu 7 Brazil

Watu saba akiwemo rubani wameripotiwa kupoteza maisha baada ya ndege ya binafsi kupata ajali nchini Brazil.

Abiria wengine sita wameokolewa katika ajali hiyo iliyotokea katika uwanja wa ndege wa Campo de Marte mjini Sao Paulo.

Mashuhuda wamesema kuwa ndege hiyo ilikuwa ikienda kwa kasi kubwa.

Kituo cha habari cha Brazil kimesema kuwa ndege hiyo ilikuwa mali ya kampuni mashuhuri  ya plastiki nchini humo.Habari Zinazohusiana