Mafuriko yasababisha vifo vya watu 27 India

Kulingana na habari za "Times of India",watu 27 wamepoteza maisha kutokana na mvua kali nchini India.

1021238
Mafuriko yasababisha vifo vya watu 27 India

Kulingana na habari za "Times of India",watu 27 wamepoteza maisha kutokana na mvua kali nchini India.

Katika maeneo tofauti ya nchi hiyo,barabara  zimefurika maji,nyaya za umeme zimeanguka na majumba kuporomoka.

Utabiri wa hali ya hewa umeonya kuwa mvua hizo zitaendelea kunyesha.

Watu watano wameripotiwa kujeruhiwa katika eneo la Shamli.

Vijiji vingi vimekata mawasiliano na miji kutokana na hali mbaya ya hewa.

Mvua zinatarajia kunyesha kwa mfululizo siku mbili zijazo.Habari Zinazohusiana