Idadi ya vifo kutokana na moto yaongezeka nchini Ugiriki

Idadi ya vifo kutokana na moto imeonegezeka mpaka kufikia 87 nchini Ugiriki.

1021227
Idadi ya vifo kutokana na moto yaongezeka nchini Ugiriki

Idadi ya vifo kutokana na moto imeonegezeka mpaka kufikia 87 nchini Ugiriki.

Mpaka sasa watu 51 wameripotiwa kupewa matibabu hospitalini.nne kati yao wakiwa ni watoto.

Majeruhi kumi wengine wanasemekana kuwa katika hali mahututi.

Moto ulioanza katka eneo la Penteli na Rafina katika  umbali wa kilomita 20  Kaskazini mwa jiji la Athens ulisambaa kwa haraka  na  kusababisha janga kubwa  la moto mjini  humo.

Moto huo ni janga kubwa  ambalo lililkuwa halijatokea  katiğka historia ya Ugiriki

Tagi: #vifo , #moto , #Ugiriki

Habari Zinazohusiana