Mvua zimesababisha vifo vya watu zaidi ya 500 nchini India

Mvua na maporomoko vimesababisha vifo vya watu  511 ndani ya  mwezi uliopita nchini India.

1014994
Mvua zimesababisha vifo vya watu zaidi ya 500 nchini India

Mvua na maporomoko vimesababisha vifo vya watu  511 ndani ya  mwezi uliopita nchini India.

Imeripotiwa kuwa watu 511 wamepoteza maisha huku wengine 176 wakiwa wamejeruhiwa kutokana na mvua kali zilizoanza toka 1 Juni.

Kwa mujibu wa habari mvua hizo zimesababisha mafuriko katika maeneo 91 tofaut,zimeangamiza nyumba takriban elfu hamsini n tano  na kusababisha kutoweka kwa wanyama zaidi ya  bilioni 1.

Hizi zimerikodiwa kuwa mvua kubwa kunyesha nchini humo ndani ya miaka 64 iliyopita.

Tagi: #India , #mvua

Habari Zinazohusiana