Shambulizi la bomu lapelekea vifo vya watu 10 Syria

Watu kumi wengi wao wakiwa ni watoto wamepoteza maisha katika shambulizi la bomu lililotokea Quneitra kusinimagharibi mwa Syria.

1014214
Shambulizi la bomu lapelekea vifo vya watu 10 Syria

Watu kumi wengi wao wakiwa ni watoto wamepoteza maisha katika shambulizi la bomu lililotokea Quneitra kusinimagharibi mwa Syria.

Vikosi vya serikali vimekuwa vikisogea kuelekea katika mpaka wa Israel baada ya kuchukua nafasi kubwa katika mpaka karibu na Jordan.

Sehemu kubwa ya Quneitra ipo chini ya utawala wa upinzani.

Nako kusini mwa mpaka huo,eneo kubwa bado linatawaliwa na kundi la kigaidi la DAESH.

Syria imekuwa katika vita toka 2011.Habari Zinazohusiana