Walowezi wa kiyahudi wachoma moto magari mawili ya wapalestina Nabluz

Walowezi wa kiyahudi wavamia kijiji cha Uref na kuchoma moto magari mawili yaliokuwa yakimilikiwa na mpalestina Nabluz

Walowezi wa kiyahudi wachoma moto magari mawili ya wapalestina Nabluz

Mmiliki wa magari mawili hayo yaliochomwa moto ameliambia shirika la habari la Anadolu kuwa walowezi wa kiyahudi walivamia kijiji cha Uref na kuyacoma moto mapema asubuhi Nabluz.

Walozi hao wakiyahudi walivamia kijii hiyo Kusini mwa Nabluz katika eneo la Kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi.

Ziad Shehadeh amesikitishwa mmo kwa magari yake kuchomwa moto na walowezi wa kiyahudi.

Walowezi hao baada ya kuvamia na kuchoma moto magari hayom wameacha ujumbe wa vitisho katika kuta za nyumba ya Shehadeh.

Wapalestina hushambuliwa na walowezi wa kiyahudi mara kwa mara bila ya hatua kuchukuliwa dhidi ya walowezi hao.

 Habari Zinazohusiana