Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa afanya ziara nchini Saudi Arabia

Cyril Ramaphosa , rais wa Afrika Kusini Afanya ziara rasmi nchini Saudi Arabia na kuonana na mfalme Salman Abdulaziz

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa afanya ziara nchini Saudi Arabia

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa afanya ziara rasmi nchini Saudi Arabia  na kuzunguza na mfalme Salman Abdelaziz . Rais wa Afrika Kusini aliwasili nchini Saudi Arabia Alkhamis.

Katika ziara yake hiyo rais wa Afrika Kusini amezungumza pia na mwanamfalme Mohammed Ibn Salman. 

Mazungumzo yao  yaligubikwa na masuala tofauti  katika ushirikiano uliopo baina ya Afrika Kusini na Saudi Arabia.

Rais wa Afrika alitarajiwa pia kufanya ziara nchini Nigeria ba Falme za Kiarabu Ijumaa.Habari Zinazohusiana