Kuvuja kwa gesi kumesababisha vifo vya watu 6 India

Gesi imevuja katika kiwanda cha chuma na kusababisha vifo vya watu sita nchini India.

Kuvuja kwa gesi kumesababisha vifo vya watu 6 India

Gesi imevuja katika kiwanda cha chuma na kusababisha vifo vya watu sita nchini India.

Ajali hiyo imetokea katika eneo la Anantapur.

Wafanyakazi wengine watano wamefikishwa hospitalini huku hali yao ikiwa mbaya.

Uchunguzi zaidi unafanyika.

Tagi: gesi , vifo , India

Habari Zinazohusiana