Idadi ya waliopoteza maisha katika mafuriko imeongezeka mpaka 200 Japan

Idadi ya waliopoteza maisha imeongezeka mpaka kufikia watu 200 nchini Japan.

Idadi ya waliopoteza maisha katika mafuriko imeongezeka mpaka 200 Japan

Idadi ya waliopoteza maisha imeongezeka mpaka kufikia watu 200 nchini Japan.

Mvua kali zilizoambatana na upepo kali zilinyesha Magharibi mwa Japani na kusababisha maafa hayo ambayo idadi yake inazidi kuongezeka.

Kituo hicho cha  habari kimefahamisha kuwa huenda idadi hiyo ikazidi kuongezeka kwa kuwa watu wasiopungua 60 bado hawajulikani walipo.

Watu zaidi ya 700 000 wanaendesha  shughuli za kuwatafuta watu ambao hawajulikani walipo.

Maeneo ambayo yameathirika kwa kiasi kikbwa na mafuriki ni pamoja na eneo la Hiroshima, Okayama na Ehime.

Watu zaidi ya 6 700 hawana makaazi kutokana na mafuriko.

Tagi: Japan , Mafuriko

Habari Zinazohusiana