Putin akutana na Netanyahu

Putin amekutana na Benjamin Netanyahu mjini Moscow.

Putin akutana na Netanyahu

Putin amekutana na Benjamin Netanyahu mjini Moscow.

Kulingana na amaelezo yaliyotolewa an Kremlin ni kwamba kabla ya mkutano huo Putin alisema kuwa mahusiano kati ya ısrael na Urusi yameimarika.

Putin amesisitiza kuwa mahusiano kati ya Israel na Urusi yameimarika katika sekta tofauti na sio uchumi tu.

Netanyahu amefurahia mkutano wake na Putin an kusema kuwa ni fursa kwa mataifa hayo mawili kushirikiana katika kuleta ulinzi duniani.

Viongozi hao wawili pia wamezungumza kuhusu Iran na Syria.Habari Zinazohusiana