Nchi nyingi zinakabiliwa na hali mbaya ya hewa duniani

Hewa inazidi kuwa mbaya ulimwenguni.

Nchi nyingi zinakabiliwa na hali mbaya ya hewa  duniani

Hewa inazidi kuwa mbaya ulimwenguni.

Nchi tofauti zimekuwa zikikabiliwa na hali mbaya ya hewa duniani.

Maporomoko yamesababisha vifo vya watu 10 katika eneo la Penchshir nchini Afghanistan.

Dhoruba limesababisha athari kubwa mashariki mwa China.

Moto katika misitu umeiandama Los Angeles nchini Marekani.

Mpaka sasa hekta kumi za zimeangamizwa na moto huo.

 Habari Zinazohusiana